Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Full kulia lia na kujidekeza tu.Asante sana Chino shukrani 😘😘😘
Leo muamala lazima usome parefu
Full kulia lia na kujidekeza tu.Asante sana Chino shukrani 😘😘😘
Hahahahaaaa!! Mchawi sio lazima aroge mjomba wangu hatudaiwi na mtyuuu wala nenee💃!!😅😅 japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu 🤣🤣🤣 nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zama
Kareboo sana mkuu ingia mpaka ndraniiii!!Hodi humu ndani
penzi which , who , whereKwamba ukiniita ndugu ndyo nitashindwa kukuomba penzi![]()
Tunapendaaanaaa kwa afyaaa ya mioyo yetu na furaha ni sehemu ya maisha yetu .. ☺️☺️☺️Hahahahaaaa!! Mchawi sio lazima aroge mjomba wangu hatudaiwi na mtyuuu wala nenee💃!!
Watuwachee na ujinga wetitruu who cares 😘😘😍😍!
Watrajejoooooo😏😏🚮🚮🚮🚮
Asante kipenzi nawe ugua pole!!Pole sana nakuombea urudi sawa. Asante kipenzi turumie hiyo ya Ankol 😘😘😘 ugua pole dear
Nipite mpaka chumbani? Au bado hujamaliza kuvaaKareboo sana mkuu ingia mpaka ndraniiii!!
No mara waaa! 😂😂😂penzi which , who , where
Aisee!😅😅 japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu 🤣🤣🤣 nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zama
Umekuwa msanii sikuhiz 😂😂Wakisema Ni filter watumie tu nao wapendeze ili tuwaone.
Usijare Tuko sebuleni mkuuu wee kuja tyuuu!Nipite mpaka chumbani? Au bado hujamaliza kuvaa
😅😅 kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe 🤣🤣🤣Aisee!
Yaani tangi hii siku ianze nikaa hapa km nilivyozaliwa laki sioni picha za watu wengine wakipita au hata vivuli vyao.
Lakini kimya tu sijui wana blesiana wapi
Yaani tangi hii siku ianze nikaa hapa km nilivyozaliwa laki sioni picha za watu wengine wakipita au hata vivuli vyao.
Lakini kimya tu sijui wana blesiana wapi
Okh poleni jamani vipi mmepiga nyungu?Lol na Twin ake tunaumwa mkuu fanya utuletee hio tangawizi jamanee tuko vibaya sana!
😂😂😂Mm sikuhiz naogopa hata kutania watu😅😅 japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu 🤣🤣🤣 nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zama
No mara waaa! 😂😂😂