Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,090
- 2,141
karibuNakujaaaa
karibuNakujaaaa
Nishakuwa mtoto tena😀😀Yaani bado hatujamalizana na swali langu unataka tuhamie kwenye swali lako hivi ninyi watoto wa siku hizi mmefunzwa adabu ya wapi eti??
Nishakuwa mtoto tena[emoji3][emoji3]
Mbona nilishakujibu.
Unajuaje kama mimi under 30?Mwanaume yeyote under 30 ni mtoto[emoji41][emoji41]
Leo nina bahati ilioje. Nywele 👏😋😋😋
Halafu wewe kwenye misosi uko vizuri😛
Unajuaje kama mimi under 30?
(Halafu rudisha avatar ya moana[emoji3])
Juice ya tende iyo, utakua mzuri sana wewe kwa hiyo rangi adimu.
Leo nina bahati ilioje. Nywele [emoji122][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu hiyo flyover ya sgr au?at site for inspectionView attachment 1268756
Nimewahi hii mara ya tatu nafikiri.[emoji1787][emoji1787]hivi haujawahi kufuma picha yangu hata moja humu kumbe??
Halafu wewe kwenye misosi uko vizuri[emoji14]
Sasa mbona umefuta bila mimi kuona bwana[emoji39][emoji7] [emoji7] [emoji123] [emoji123]
Nakazia[emoji123]Mwanaume yeyote under 30 ni mtoto[emoji41][emoji41]
Juice ya tende iyo, utakua mzuri sana wewe kwa hiyo rangi adimu.
hahaha mdogo angu karmaMwanaume yeyote under 30 ni mtoto[emoji41][emoji41]
Unaficha sana
Nimewahi hii mara ya tatu nafikiri.