ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,482
- 126,744
Haha, mkuu ushi una mambo sana...Ebu muulize kama amefanana na baba au mama...??[emoji28][emoji28]
Haha, mkuu ushi una mambo sana...Ebu muulize kama amefanana na baba au mama...??[emoji28][emoji28]
Usiliseme nitakucharaza ujue. [emoji3][emoji3]
No problem , You can keep sipping !
Haya mambo kumbe kwako ni mashikolo mageni😀😀Haya nipe tafsiri ya kalaga baho fasta!!
Kuna picha nasikia ulipost, nikapitwaaaUhondo upi tena huo baba??
Hii sherehe au ?
Mlevi npo hapa ntakulinda
Haya mambo kumbe kwako ni mashikolo mageni[emoji3][emoji3]
Kalagha bao ni sawa na kusema tu "shauri yako"
Kuna picha nasikia ulipost, nikapitwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo neno mashikolo umenikumbusha mbali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oohh kumbe sasa ni kilugha gani hicho
Tuma then taja dau lolote mi nafika tu [emoji39]Ah we si mzembe kama kawaida yako?? Una sh ngapi nikutumie kwa waziri mkuu??
Good nyt!!View attachment 1268563
Umepitwa eeee
Akaunt ya benki unayoimiliki kaka.
Usiwe mchoyo wengine nuhindi hajatulila bado.
HahahahaWewe ukipewa chupa ya Imagi tu kwisha habari yako.
Nyusi+jichoGood nyt!!View attachment 1268563
Umekumbuka wapi? Nipe kahadithi kidogo.
Good nyt!!View attachment 1268563