Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niacheni nijivune ,huu ni wakat wangu
Achukiae anune, Hii ni neema kwangu
Sinashida ya mwingine,simwachi mpenzwangu
Sinashida ya mwingine,simwachi mpenzwangu✨✨✨😍
 

Attachments

  • IMG_20230311_230931.jpg
    IMG_20230311_230931.jpg
    498.8 KB · Views: 5
Nishaona comments za Fb [emoji23][emoji23][emoji23] mwichacho na yemen wapi na wapi
Nilicheka
Yaani fb kuna vituko.


Kuna habari ya fei toto
Wanasema bado ni Yanga
Sasa comments za watu, ilicheka nikataka kuzimiw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado za Zumaridi [emoji1787]
Yaani tz ukifa Kwa stress umejitakia
Screenshot_20230303-092721.jpg
Screenshot_20230303-093013.jpg
 
Nilicheka
Yaani fb kuna vituko.


Kuna habari ya fei toto
Wanasema bado ni Yanga
Sasa comments za watu, ilicheka nikataka kuzimiw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado za Zumaridi [emoji1787]
Yaani tz ukifa Kwa stress umejitakia
View attachment 2546709View attachment 2546711

Watu wanachekesha sana alogundua kuandika comments abarikiwe
Tiktok huwa napo ni balaaa huwa nacheka mpaka machozi
 
Back
Top Bottom