Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,299
Hii ni yapaka au?Tuanze weekend.View attachment 2545196
Hii ni yapaka au?Tuanze weekend.View attachment 2545196
MhhhhhHayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina 😁😁
Kapachino Mungu ampe nini leoNakuja nakujaaa chap hapo 😁😁!
Ishi Sana, mwizi mwenzagu National Anthem😉😉😉😉 haya aunt yangu kipenzi View attachment 2545024
Aisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonnia🫡🫡🫡🫡 aunt wanguuu huyooo mzuri sanaaa lips hizo 😋😋 jicho ilooo 😋😋😋 langi ya pure gold
🙆🙆🙆Aisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonnia
Nisameheee sikujua uko macho😎🙊
We emoji hizo za mshangao vepeee😎
😅😅 kuishi sana kuiba sana na kuwa tajiri sanaaa kauli mbiuIshi Sana, mwizi mwenzagu National Anthem
😅😅 Niambie mzee mwenzangu.. harakati zinaendaje hukoHongera kwa kuachiwa Mkuu.
Linaza bado ipoHahaha twenzetu linaz pale ama!!
Mimi ndo nashuka kwenye huu mteremko mkali wa hamgembe
Za kushangaa ndioWe emoji hizo za mshangao vepeee😎
Morning selfika!!
Goat hair Lol 😊😊😊😊!!
Niko poa BLGoat hair Lol!!
Habari za uzima Msukuma!!!
hahaha