Usiku mwema wapendwa mrare unono!!✌️✌️✌️
Nikapumzishe fuvu langu kwaleo inatosha 😴😴😴
KohKingine ntakuja kukwambia hapohapo mjomba hapa noumaaa![]()
On the line one and two😍✌️✌️!Mnyama mkali
Yaw yaw 😁!
Mnywanii Kwani mjomba alikua kazuiliwa??? Au umemix file la Carrasco putin ??Hongera kwa kuachiwa Mkuu.
Kikundi cha wanaume wametembea Kilomita kadhaa kutafuta wake wa kuwaoa..Kuna nini 🙄🙄
Mpaka nachelewa kuona mambo mazuri Yani!!!On the line one and two😍✌️✌️!
Ulitingwajee mkuu sio kwa ukimya huo!!
Jeeeshiiiiiiiiii... Tembo.. kondeboiYaw yaw 😁!
Wanaume wa india wana zingua sana🤓🤓Kumekuwaje huko wa jr akee??
Walee twaruka priiiiiiiiiiiiiii💃😁Jeeeshiiiiiiiiii... Tembo.. kondeboi
Ahaa huyu alikuwa ndani ana kandwa kandwa na full kuoga maji ya iriki!Mnywanii Kwani mjomba alikua kazuiliwa??? Au umemix file la Carrasco putin ??
Wanazingua kwenye nini ??Wanaume wa india wana zingua sana🤓🤓
Anakwambia ""i wish tuzikwe wote"" 🤓🤓🤝Walee twaruka priiiiiiiiiiiiiii💃😁
Ndiwooo ndiwoooo!! Inapendeza sana mkuu maisha ndio hayahayaaa!!Ahaa huyu alikuwa ndani ana kandwa kandwa na full kuoga maji ya iriki!
Njoo unifate hom tukabanjukee zeituuu rafikiii tena mida ndio hiiMpaka nachelewa kuona mambo mazuri Yani!!!
Nikupotie wapi tuka dance dance kidogo! It's weekend
Hahaha twenzetu linaz pale ama!!Njoo unifate hom tukabanjukee zeituuu rafikiii tena mida ndio hii
Tutupe shida chini tuweke mikono juuu💃 We live once ausio
Nakuja nakujaaa chap hapo 😁😁!Hahaha twenzetu linaz pale ama!!
Mimi ndo nashuka kwenye huu mteremko mkali wa hamgembe