Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Looks yummy and delicious

Tunapoelekea kupika vitafunwa itarudi maana si Kwa bei hii andazi moja ni 250 hapo una familia ya watu sita ..
Usafi pia hauzungatiwi

Imagine unapita alfajiri,unamkuta mtu anafanya usafi,
Lile kabati la kioo la kuweka vitafunwa,amelisafisha,anafuta na nguo khanga aliyoivaa.
Ptuuu...

Mm vitafunwa huwa nipo selective sana kwa kununua..
Nanunua kwa mtu mmoja tu, tena chapati
Asipopika siku hiyo ndio basi tena.
 
Aisee duh
Bora kuwa selective hivyo , otherwise unakula vitu vichafu

Unakula let's say sambusa kumbe viazi vimelala toka jana ., Kinachofata ni kuumwa tu tumbo hapo
 
Usafi pia hauzungatiwi

Imagine unapita alfajiri,unamkuta mtu anafanya usafi,
Lile kabati la kioo la kuweka vitafunwa,amelisafisha,anafuta na nguo khanga aliyoivaa.
Ptuuu...

Mm vitafunwa huwa nipo selective sana kwa kununua..
Nanunua kwa mtu mmoja tu, tena chapati
Asipopika siku hiyo ndio basi tena.
Nilikuwa naenda nunua bakery ila huku napokaa wanauza bei jamani ..
Cha uroho mie wapi na wapi 🤣🤣 andazi la nyama tu 2000 , sambusa buku , .. nimerudi mitaani tu mie .
 
Back
Top Bottom