Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,688
Jana umekosa mpaka weekend tena best Wigee
Jana umekosa mpaka weekend tena best Wigee
Ngoja nifanye hivo wabheja sana 😘!Kama zimekatika usisuke selfie suka mabutu ya kuanzia chin sio ya kuviiriga chini Yale Sina picha.
Wige tatizo anapotea sana sikuhizi!! Akitingwa anatingwa kweri kweri!Jana umekosa mpaka weekend tena best Wigee
Kabisa mkuu maisha ndio hayahayaaa!!ewaaa! Ayo ndo maneno
Ili Watu tuendelee kufurahi na kuongeza siku za maisha ya kuishi hapa duniani
Kilimo cha umwagiliajiii kama cha Babu yako Grah😛🤣!Nipo nyakanazi hapa
Napiga msosi then
Naamsha chuma
Saa nane nipo hapo border
Niwekee oda nije kufanya
Kilimo cha umwagiliaji
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Yah 😍hiz haziharibu nywele na haziumiKama hizi asuke sophy27 View attachment 2542301
Siyo mimi dear, tumefanana eeh? Nina copy ya watu wengi sana. Toleo letu tuko wengi sana.Umependezaajee Bantu Lady una nywele nzureee laini hadi raha!! Mie nahiki kipilipili sijui ntapendeza lol!
Uko kama mzunguuuuuu😍😍😍😍
Osha then blowdry na mafuta mengi zinyooke then sukaUmependezaajee Bantu Lady una nywele nzureee laini hadi raha!! Mie nahiki kipilipili sijui ntapendeza lol!
Uko kama mzunguuuuuu😍😍😍😍
Osha then blowdry na mafuta mengi zinyooke then suka
Poa kipenzNtafanya hivo mam sante sana!
Awwwwwwwwww 😋😋😋😋😋😋!Cake from CRDB Bank.... dash dash😉View attachment 2542319
Weka location😀Cake from CRDB Bank.... dash dash😉View attachment 2542319
Location ndiyo kwenye mabano sophy27 😅😅😅😅Weka location😀
Ety wewe ndiyo samia?Yaanianasema namchelewesha kupata wajukuu
Chuchu konzi