kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Manara huyo sio mimi nimefanya kunukuu tuMchawi sio lazima aroge![]()
Manara huyo sio mimi nimefanya kunukuu tuMchawi sio lazima aroge![]()
Hapana chezea Mbantu weewwweee lazima ukaeee😊!Nibudarani tosha akiwa anapuliza; maana kila akipuliza nalo linacheza!
kuoga mmeoga sawa na kuulamba mmeulamba kweli ila mjini hamuendi💃💃💃,🤸 kama nawaona kiduku mpapaso na mwenzie Kapachino walivotamani tufungwee😂😂!!
Sisi ndio Yangaa the Unbeaten 💃
Mchawi sio lazima aroge walai 😁 !! Tunaenda mtrake msitrakees msitutanieeeee☺️kuoga mmeoga sawa na kuulamba mmeulamba kweli ila mjini hamuendi
Hii pisi ya maana mnywani tuache masihara;Hapana chezea Mbantu weewwweee lazima ukaeee😊!
Pisi karee pisi ya kwendaaaa mtrotro mashallah mtrotro white jamaniii😁Hii pisi ya maana mnywani tuache masihara;
Nipo nyakanazi hapaAhaaa sauwasauwaaa wee jiandae najuletea toto moja karee sanaa tramuuuuu!;
Rudi mjiniNiko sigimbi huku ukiweka picha hata haziji ngoja nikija mjini kwenu huko utaziona ndugu mjumbe
Rekebisha bhasNina furaha tumeshinda Yanga 2 kwa 0 hao Bamako.
Wachaa,
kama nawaona kiduku mpapaso na mwenzie Kapachino walivotamani tufungwee
!!
Sisi ndio Yangaa the Unbeaten![]()
Da Bantu LadyNibudarani tosha akiwa anapuliza; maana kila akipuliza nalo linacheza!


Nitakuwa nakupa my pics unanipostia tu, hakuna namna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmmh sina hakika Wigee 😅😅😅😅 ila nalo kama pembe la ng'ombe halifichiki
ewaaa! Ayo ndo manenoNitakuwa nakupa my pics unanipostia tu, hakuna namna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama zimekatika usisuke selfie suka mabutu ya kuanzia chin sio ya kuviiriga chini Yale Sina picha.Asante sana madam sophy27 sema hizi nazofumua mbele zimekatika sana niliunga selfii hazitakatika nywele zianzie utosini kweli??
Au nisuke yebu achia tu ???!🤔
Fanya hivyoNitakuwa nakupa my pics unanipostia tu, hakuna namna![]()
Wepesi bhasMmmh sina hakika Wigeeila nalo kama pembe la ng'ombe halifichiki