Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Tumepishana Best
Uko hapo mkuu? Na mie ndiyo niko njiani nakuja hapo!
Uko hapo mkuu? Na mie ndiyo niko njiani nakuja hapo!
Naomba elfu 20,000 sasa
Uko hapo mkuu? Na mie ndiyo niko njiani nakuja hapo!
Ya kitanzania au ya Zimbabwe
Ulinikumbuka Mimi au ulikumbuka kukosoa maon yanguNilikumiss mimi![]()

Mlevi npo hapa ntakulindaUwiiii joka hilo toa jamani.
Nimeshtuka
Hata mm sijui bwana nmekuta nmeweka tu hapa,labda vinakupenda,nionyeshe dawa ya kutoa uchovu nmechokaaa wwee ,kichwa kizito kama nn
Hapo ni wapi?
Ulinikumbuka Mimi au ulikumbuka kukosoa maon yangu![]()
Dawa ya kutoa uchovu! Nadhani upate full body massage, itakupa relief kubwa!!Hata mm sijui bwana nmekuta nmeweka tu hapa,labda vinakupenda,nionyeshe dawa ya kutoa uchovu nmechokaaa wwee ,kichwa kizito kama nn
Ooooo alright madam ka"Ni Kiatu Tu Ndiyo Inajua Story"
AhsanteeeeeDawa ya kutoa uchovu! Nadhani upate full body massage, itakupa relief kubwa!!
Mshana ana makusudi sana.I'm sorry for the tag mwaya,, sirudii tena kukutag kwa manyoka..