Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,749
- 109,842
nuggets haina mfupa, ni mnofu tu
Na zenyewe zinatafunika hadi mifupa enh??
Na zenyewe zinatafunika hadi mifupa enh??
Kwa hiyo hapo ndio fresh kabisa umeshiba.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]huu sasa uchuro huu
nuggets haina mfupa, ni mnofu tu
Kwa hiyo hapo ndio fresh kabisa umeshiba.
Watu wa dar bana.Aahh kabisa yaani hadi nilishindwa kutembea
Oooooh My G[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]aww pizza,, usijali dear siwezi kufagia mbele za watu nitafunga ili nikafagie vizuri nyumbani..[emoji1787][emoji1787]
Human meat
Oohh okee okee..
Hivi kwani wewe uko wapi??
Human meat
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Sio kweli hebu chungulia hapaView attachment 1268327
Watu wa dar bana.
Yaani huo msosi mtu ndio kashiba eti. Huo huku nasonga dona then hiyo ndio mboga.Wana taabuu kweli kweli
Yaani huo msosi mtu ndio kashiba eti. Huo huku nasonga dona then hiyo ndio mboga.
Utashangaa bei yake ni 7500 au zaidi teh.[emoji3]
Mbona vina matobo makubwa sana!Nane nane'View attachment 1268467
Mbona vina matobo makubwa sana!