


daah sema tatizo wale wahudumu wako fasta kitendo cha kunyanyuka kuenda kunawa tu unakuta kashakutolea vyombo yuko anakung'uta mabaki kwa trash can
kwanza nilivyomaliza hiyo si nikaagiza nyingine take away ili nimpelekee dada nyumbani,, sasa ungeniona nilivyokuwa nahangaika kuvitumbukiza kwa pochi ungecheka yaani wale wahudumu nahisi walikuwa wanachekea ndani kwa ndani tu..
Hapana bana 😀😀 ni kati ya hapo haizidi 10kElf 7 tuu inaweza ikawa 30k hahahah
Sisi tushazoea ugali wetu
Hahaha wachana na vikuku vipaja sijui nenda ulizia ile mikate yao imetiwa sijui mboga mboga ,sijui nyama hahaha uone bei yakeHapana bana 😀😀 ni kati ya hapo haizidi 10k
Unapata kapaja na viazi (chipsi) kasosi kamoja. Labda na ofa ya coke
Burger 😀😀Hahaha wachana na vikuku vipaja sijui nenda ulizia ile mikate yao imetiwa sijui mboga mboga ,sijui nyama hahaha uone bei yake
tena hapo imebidi nibakishe ya kupigia picha ila ningeweza kutafuna yote maana kuku za KFC zinatafunika hadi mifupa ukiwa mlafi kama mimi unaweza jikuta haujaacha kitu
![]()

EheeeeBurger 😀😀
Watu wa dar bana.
Watu wa dar bana.



mwee ushaniacha kwa mataa
Hahaha...ASL? (umepitia hii generation ya vifupisho while chattin?)
We don ask em questions in here, do we?
Aah wapi wewe me nakujua kwenu tabata kinyerezi.We Mi wa mkoani
Kijijiji matengele hapa Mjini nimezamia tu
Kwa wataalamu, how bad are these when you've sipped a little alcohol? Got mad flu.
View attachment 1268510
lini hiyo me wala sikuwa online. Me nakujua kama hutaki kalagha bao.😀😀



lini hiyo me wala sikuwa online. Me nakujua kama hutaki kalagha bao.![]()


kaa milioni Ka buku
leo mchana nimekutana nae nikasema na yeye awepo kwenye historia ya selfika na jamiiView attachment 1268515
🤣🤣🤣 Hilo unalodhaniaga ni tusi wala si tusi. Nilikudanganyaga.Mmhh ulikuwepo sana mbona
Haya nipe tafsiri ya hayo maneno yako mawili ya mwisho sasa hivi kabla sijakupa lile tusi![]()
..sijafumaniwa bwana! Ile picha hem' rudia nyingine basiHahaha umefumaniwa eheee

Hilo unalodhaniaga ni tusi wala si tusi. Nilikudanganyaga.
Usiliseme nitakucharaza ujue. 😀😀Anha kwahiyo niliseme tena eti??