Mnyama mkali antoniaUsiku mwema wapendwa mrare unono 😴😴😴😴😴😴😴!
Nikapumzishe fuvu langu kwaleo inatosha
Nahisi usingizi mkuu nishavimbiwa hapaa basi tabu tupu!!Mnyama mkali antonia
Nice nice(hata ukivaa gunia lazima upendeze tu Yani)
Ndo kumekucha unalalaje mapema yote hii!
Sawa lala unono!Nahisi usingizi mnywanii nishavimbiwa hapaa basi tabu tupu!!
Santo sana mkuu!
Sawa lala unono!
Kazi njema pia na mjeda
Mimi hapa nimwendo wa kubambia mto tu mkuu.Kazi njema 😂😂😂!!
Nakwako pia mkuu!
Nina ndugu wakike kama wote Mkuu wee sema tu qualifications za umtakae!!Mimi hapa nimwendo wa kubambia mto tu mkuu.
Huna mdogo mtu uko
Tuunganishe ukoo
hahaha!Nina ndugu wakike kama wote Mkuu wee sema tu qualifications za umtakae!!
Limeisha hiloo wee jiandae tu nakuletea kitruu sasahivii😊!
Usimwangushe kapachino naye Ni binadamu anahitaji mambo mazuriLimeisha hiloo wee jiandae tu nakuletea kitruu sasahivii😊!
Siwezi kukuangushaa mwambaa yanii wee jikoki kabesaaa! Nakuletea chombo kimoja kikaree sanaaUsimwangushe kapachino naye Ni binadamu anahitaji mambo mazuri
Ewaaa fanya Kama vile mashalove anavofanyaSiwezi kukuangushaa mwambaa yanii wee jikoki kabesaaa! Nakuletea chombo kimoja kikaree sanaa
Usijareee kabisaEwaaa fanya Kama vile mashalove anavofanya
We mapema hivyo ndugu mjumbe AntonniaUsiku mwema wapendwa mrare unono!
Nikapumzishe fuvu langu kwaleo inatosha
Kunywa coke hapo kwa mangi nakuja kulipa ndugu mjumbe AntonniaEffect ya Kuvimbiwa ndugu mjumbe!
Ndio aise inaondoa kabisa ndugu mjumbe au unatafuna big g mambo shwari kabisa AntonniaSanto sana Ndugu mjumbe kumbe coca inaondoa gesi??
Kapachino kwahiyo huenda sina akili eeh 😂😂😂😂😂😂😂 Ni holder wa kitu kigumu ohooo ... ila nimecheka eti akili hata zako mtatumia 🤣🤣🤣🤣🤣