Na unaweza tafuta msosi ujue ndugu mjumbeKabisa ndugu mjumbe ngoja nifanye hivo!!
Shukrani sana
Shikamoo mtoto mzuri Bantu LadyKapachino kwahiyo huenda sina akili eehNi holder wa kitu kigumu ohooo ... ila nimecheka eti akili hata zako mtatumia
![]()
Msosi nshakula mkuu!Na unaweza tafuta msosi ujue ndugu mjumbe
Si inaleta njaa tena ndugu mjumbe AntonniaMsosi nshakula mkuu!
Marahaba mzima wewe kiduku mpapaso za mawiki sijui miezi.Shikamoo mtoto mzuri Bantu Lady
Ukitafuna big g tu mbona freshHahaa saivi naona shibe inapungua walau
Toto liko vizuri idara zote eh?Nyiee Nacheka kama chiziii huku Kapachino utamuweza sasaa hahahaaa!! Bantu Lady mwenyewe kichwaaa Jiniaz vereveree
Salama kabisa we si umetususa karibu tena Bantu LadyMarahaba mzima wewe kiduku mpapaso za mawiki sijui miezi.
Nipo sana tu na likizo nimemaliza. Ubusy tu nachoka na navyopenda kupumzika. Sitakagi shida ndogondogo 😅😅😅😅😅Salama kabisa we si umetususa karibu tena Bantu Lady
B L ninouuuuumaaaa sana!! Bantu Bantu kweliToto liko vizuri idara zote eh?
Namfananisha angel kairuki mtoto Bantu Lady ujue
Tenaaaa 😂😂😂 Kapachino hapa kama hutengenezi kuomba selfie, sijui si kwa kunijaza hivi hee 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Toto liko vizuri idara zote eh?
Namfananisha na angel kairuki mtoto Bantu Lady ujue
Tubariki na photos moya Bantu LadyNipo sana tu na likizo nimemaliza. Ubusy tu nachoka na navyopenda kupumzika. Sitakagi shida ndogondogo![]()
Habari Bantu LadyMarahaba mzima wewe kiduku mpapaso za mawiki sijui miezi.
Ndomana awamu zote za jk! Jpm na Sasa mama hawamuachi kwenye teuzi.B L ninouuuuumaaaa sana!! Bantu Bantu kweli
Shida uko madunduka FC... ungekuwa Yanga ningedondosha moja hapa ya faster...😜😜😜Tubariki na photos moya Bantu Lady