Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Whaaaaaaat Antonnia nitakuchapa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ toka lini Wakurya tukawa hivyo? Tayukwa unadanganywa na unakubali shauri zako. Miye nimenyooka kama moja...
Antonnia msalimie kibichwa bana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Bantu Lady huyu Antonnia hajawahi nifelisha
 
Whaaaaaaat Antonnia nitakuchapa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ toka lini Wakurya tukawa hivyo? Tayukwa unadanganywa na unakubali shauri zako. Miye nimenyooka kama moja...
Antonnia msalimie kibichwa bana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kibichwa🀣🀣🀣🀣
Nikimuona ntampa saramu zako kipenzi ( Kwa sauti ya kanda maarum 😁😁! )
 
😁😁😁Eti mojaaa weeeee wenye mojaa huwaoniπŸ€”πŸ€”??nao wasemejeee😁😁😁😁! Mtrotro mashallah uliumbwa ukaumbikaa!! Sio Mie hapaa sura ka bi kidude 🀣🀣🀣🀣🀣!!

Kibichwaaaaaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Nitakupeleka Congo unajua kuna M23 huko, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nakugawa kabisa. Wewe ndiyo Malkia mwenyewe, kizuri kisifiwe kwa roho moja. Uko vizuri mrembo. Antonnia
 
Nitakupeleka Congo unajua kuna M23 huko, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nakugawa kabisa. Wewe ndiyo Malkia mwenyewe, kizuri kisifiwe kwa roho moja. Uko vizuri mrembo. Antonnia
Nijazeee nijazeee tyuuuu wee nijazee mamaaaa 😊😊😊😊!!
Wazuri wapo kipenzi si unawaona lakini??? M@Bantu Lady umenishinda tabia walaiii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£πŸ€£!
Huoni sura ya bi kidude hiii??? Niwache na kibichwa changu sura Yangu ngumu miee😊
 
Nimecheka hapa nilipo acha tu. Sina mbavu kibichwa ana hekaheka si za nchi hii atakuwa ana sonona moyoni masikini. Bi kiduke shikamoo zake ... ng'ata na mpulizaji. Naanzaje na kukujaza kipenzi, ulivyo mzuri shukuru. Kama nikukule na ugali πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Nakumbusha tu mmesema wenyewe siku hizi Ban zipo za kutosha kama njugu
 
Nimecheka hapa nilipo acha tu. Sina mbavu kibichwa ana hekaheka si za nchi hii atakuwa ana sonona moyoni masikini. Bi kiduke shikamoo zake ... ng'ata na mpulizaji. Naanzaje na kukujaza kipenzi, ulivyo mzuri shukuru. Kama nikukule na ugali πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Tayukwa hapa ni kichitchat nakuforaheeee tyuuuπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ!!
Hebuu tusubirie 🀳🀳Ya Mrembo mkaree kwanzaa kwako Bantu Lady 😜😘
 
Back
Top Bottom