Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Wigelekelo Nimekumiss kupitiliza, unajua kujichimbia kwa kweli. Karibu tena, mambo ni poa sana tu...
Wigelekelo Nimekumiss kupitiliza, unajua kujichimbia kwa kweli. Karibu tena, mambo ni poa sana tu...
Na kesho tunambonda mtu vibaya mnoShida uko madunduka FC... ungekuwa Yanga ningedondosha moja hapa ya faster...![]()
Sasa je wanamuachaje kwa mfano 🤔!Ndomana awamu zote za jk! Jpm na Sasa mama hawamuachi kwenye teuzi.
Labda nikiona kapicha naweza kuja uko Bantu LadyShida uko madunduka FC... ungekuwa Yanga ningedondosha moja hapa ya faster...![]()
Eendiwoooooooo ndiwoo!! Yangaa Hhooouuuuyyyyyyyeee💃Shida uko madunduka FC... ungekuwa Yanga ningedondosha moja hapa ya faster...😜😜😜
Kuna pisi Ni ngumu Sana kuziacha amini;Sasa je wanamuachaje kwa mfano 🤔!
Kwamba na wewe uko utopolo dahEendiwoooooooo ndiwoo!! Yangaa Hhooouuuuyyyyyyyeee![]()
Unbeaten💪💪Kwamba na wewe uko utopolo dah
Waze wa ugali na sukariUnbeaten![]()
Mkimbonda mtu tutapita naked kabisa...yani kama tulivoooo 😊😊😊!!Na kesho tunambonda mtu vibaya mno
🤣🤣🤣🤣Waze wa ugali na sukari
Tupinge kesho vipers tunae mpaka tumtoe damuMkimbonda mtu tutapita naked kabisa...yani kama tulivoooo!!




Sasa unafikiri dada mkubwa ndani ya umini si tetemeko jamani!Fanyeni hivo buanaaa😊😂!
Tetemeko noumaaa sana;
Hii risit ninaitunza masijala isije ikapoteaMkimbonda mtu tutapita naked kabisa...yani kama tulivoooo!!



NjooWigelekelo Nimekumiss kupitiliza, unajua kujichimbia kwa kweli. Karibu tena, mambo ni poa sana tu...
Nipo hapaa Walai mkitoboa napita nakedddd!! Risiti itunze kabisa ndugu mjumbeTupinge kesho vipers tunae mpaka tumtoe damu![]()
Mi nasubiria kuona macho tuNipo hapaa Walai mkitoboa napita nakedddd!! Risiti itunze kabisa ndugu mjumbe