DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Baby unafagiaaaaa. Yaani umeacha mifupa tu[emoji1786][emoji1786][emoji39][emoji39]View attachment 1268356View attachment 1268358
Baby unafagiaaaaa. Yaani umeacha mifupa tu[emoji1786][emoji1786][emoji39][emoji39]View attachment 1268356View attachment 1268358
Weee mbaya mifupa ndiyo imebaki hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Yummy
Mifupa weka kwenye kinailon weka kwa pochi..pelekea mbwa. Hao mabeberu usiwaachie kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa huto tumifupa hao mbwa watashiba kweli?? Mbona kama ndiyo nitawatia hasira tu kwa kuwatamanisha na kuwaongezea njaa??
Baby unafagiaaaaa. Yaani umeacha mifupa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pita pita na meza nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kikubwa mabeberu yasikusahau kiurahis
Ya kitanzania mdogo wangu najuanupo mimani fabya muamala chap chap.
Yupiii huyo mkuu KarmaAisee kuna mtu umefanana naye ile mbaya sijui kaka yako
Next point tukutane Pizza hut. Ila usifagie sana sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nafagia,, baby kwani haujui vyenye mkeo napenda kufagia mimi?? Yaani nahakikisha naacha sehemu saaafi kabisa
Yupiii huyo mkuu Karma
Sawasawa mkuuKaka fulani hivi au labda kwa vile na yeye anapenda kufuga moustache na kunyoa beards kama wewe hivyo hapo ndiyo maana naona mmefanana?? Jina lake la kwanza linaanzia na K na la ubini linaanzia na M!!
Next point tukutane Pizza hut. Ila usifagie sana sasa
[emoji1786][emoji1786][emoji39][emoji39]View attachment 1268356View attachment 1268358
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena hapo imebidi nibakishe ya kupigia picha ila ningeweza kutafuna yote maana kuku za KFC zinatafunika hadi mifupa ukiwa mlafi kama mimi unaweza jikuta haujaacha kitu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mbona naona mboga tu. Wali au ugali uko wapi?
Dooh!!! umenikumbusha nuggets za Chick-fil-A
Nane nane'View attachment 1268467