Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mbona haraka sana???😳 Ongeza 🧊 unywe taratibu.🙂Ahaa hii inaisha after 3hrs andaa kabisa huo msosi😊
Mbona haraka sana???😳 Ongeza 🧊 unywe taratibu.🙂Ahaa hii inaisha after 3hrs andaa kabisa huo msosi😊
Nipo fast sana🫣Mbona haraka sana???😳 Ongeza 🧊 unywe taratibu.🙂
Sana!!😁😁 Nikutumie na Coka Cola??Nipo fast sana🫣
PamojaCheers mkuu![]()
Good evening
Kimya sana Mkuu kumbe upoo!!Good evening
Ndugu mjumbe salama weweKimya sana Mkuu kumbe upoo!!
Wigelekelo yuko shamba analima si unajua msimu wa kilimo hui
Nipo mwingi sana Madam.
Swalamaa kabisa ndugu mjumbe! Weekend inasemaje pande hio!! ✌️Ndugu mjumbe salama wewe
Nilikua kifungoni Ndiomana!Nipo mwingi sana Madam.
Ulipotea pia.
Ukiachana naile pin ya wiki 1 nilizuiliwa 🤳 mwezi mzima kifungo kiliisha jana!Tena?
Ulifanya nini?
Wewe ni yupi hapo?

Hee!Ukiachana naile pin ya wiki 1 nilizuiliwamwezi mzima kifungo kiliisha jana!
