Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona mambo ya social media sasahivi yanaleta msukumo sana kualibu watu asa tiktok kwa wale wasiojielewa
Sio social media ila behavior ya mtu ambayo ndio ina leading yeye kuipeleka au kupelekwa kwenye social media ukichunguza kwa undani uyo afande ataongea mengi sana ila roho chafu ikikuvaa kama una msimamo utoboi
 
maana hakuna neno gumu mbele za Mungu wala lisilowezekana
Tatizo la jamii yetu, tunaangalia hili tatizo ki science sana na kijamii hata kunyoosha mikono na kuwatukana hata kuwatenga.. Jamaii haijui nguvu kubwa kutoka kuzimu ilivyo porute anga kuanzia Q1 to Q7 za nguvu za giza kuhakikisha uzao wa kiume unaharibika kuanzia kwenye misingi.. Tunahitaji upendo ( upendo ni nguvu pekee ya ukombozi ) hata ukombozi wa mwanadmu kupitia Yesu ni matokeo ya Mungu kuupenda ulimwengu na sio kuuchuki. Tunahitaji kuwaombea walio haribika Mungu awatoe kwasababu ni maswala ya kiroho zaidi, pia tinahitaji kuombea watoto na jamii isifikwe na haya
 
Ni wachache sana kuna mtu anafananisha na wanyama bina damu anautashi wa kutambua ili baya au zuri ila roho chafu ikimtawala hawezi kupambanua
 
Ni wachache sana kuna mtu anafananisha na wanyama bina damu anautashi wa kutambua ili baya au zuri ila roho chafu ikimtawala hawezi kupambanua
Ni kweli kabisa, roho ikisha mtawala mtu anakuwa hana tena maamuzi binafsi, anakuwa kama robot.. mtu anajikuta anafanya asiyoyataka .. hadi inafikia hatua ya kuwa ngome kwenye fahamu za mtendaji nae kuanza kulitenda bila hofu.. ila hata hao ambao wameangukia kwenye hilo tatizo mwanzo walikuwa wana hukumiwa sana mioyoni mwao hadi ngome zilipo umbika katika fahamu zao.. ile hukumu na kushuhudiwa hukumu kukafa. But huwa naamini kwa huruma za Mungu kuwagusa, nimeona watu kadhaa wanafunguliwa na kurudi normal
 
20230302_160311.jpg
 
Back
Top Bottom