Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiaza kuvuna tuambie tununue mafuta mapema kabla ya kupanda bei najua kwako lita tano nanunua 6000tu
Usijali Mkuu

Mwaka Jana licha ya kulima binafsi pia nilinunua kwa Wakulima wenzangu na kukamua Mafuta, siku ukija kunisalimia huku Kijijini lazima nikupe lita 20 Ukatumie na Wajukuu zangu huko Mjini 🤪
 
Its friday yooh!
20230224_200500.jpg
 
Ukweli wa Maisha

Ukweli nambari 1:
Hakuna mtu halisi katika ulimwengu huu isipokuwa Mama.

Ukweli no. 2:
Masikini hana marafiki
Ukweli Na. 3
Watu hawapendi mawazo mazuri wanapenda sura nzuri
Ukweli no 4:
Watu wanaheshimu pesa sio mtu.

Ukweli no 5:
Mtu unayempenda zaidi, atakuumiza zaidi!

Ukweli nambari 6:
Ukweli ni Rahisi, Lakini, Wakati unajaribu Kuuelezea. Inakuwa Ngumu.

Ukweli no 7:
Ukiwa na furaha unafurahia muziki" lakini "unapokuwa na huzuni, unaelewa maneno"
Ukweli no 8:
KATIKA MAISHA Mambo mawili yanakufafanua "
subra yako" wakati huna kitu na "Mtazamo wako" wakati una kila kitu..
 
Back
Top Bottom