National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Naona unataka kumrithi Swahiba wako Wigelekelo ๐ค
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Naona unataka kumrithi Swahiba wako Wigelekelo ๐ค
Uzeee ni kutoa matumizi kama hayo.. kama hufanyi hivyo unabaki kuwa kijana tu ulie na copy ya uzeeAcha kutupa Wazee vishawishi na unajua Pension tumeambiwa itatoka Mwakani ๐คช
Hapa ninywe kipi ๐Wavuvi kempu๐ ๐ ๐
Karibuni sana, Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa Nchi ๐คNa sisi tu akuja uko uko
Sio huku tunamegewa ugali kisoda mboga ndo nyingi
๐๐ ngoja Wazee tukae kikao kujadili hiliUzeee ni kutoa matumizi kama hayo.. kama hufanyi hivyo unabaki kuwa kijana tu ulie na copy ya uzee
Vinywaji laini sana, tafuta whiskey JD glass moja inakutosha kijana!Hapa ninywe kipi ๐
Nitapotea njia aseVinywaji laini sana, tafuta whiskey JD gass moja inakutosha kijana!
Au ndio wazee umri tu ๐ ๐ ๐๐๐ ngoja Wazee tukae kikao kujadili hili
๐ ๐ ๐ chaka raha sana, weekend wapi mzee.. nimelala zangu tuSio huku tunamegewa ugali kisoda mboga ndo nyingi
Huko mnakutana matajiri mzee.. nipo nasikiliza kwaya hapa tuNational Anthem welcom wavuvi kempu
Ahahaha matajili wapi kaka wakati tuna ganga njaaHuko mnakutana matajiri mzee.. nipo nasikiliza kwaya hapa tu
Mgangaa njaa na wavuvi wapi na wapiAhahaha matajili wapi kaka wakati tuna ganga njaa
Vitu vidogo ivyo tafuta 20000 siku uwendeeMgangaa njaa na wavuvi wapi na wapi
[emoji16]Aya bhanaNitakusubiri maana hakuna namna kama nikowa osama 2 fresh [emoji28][emoji28]
๐๐๐๐ buku 20k, pale nitafanyaje .. nauli tu ya kunitoa home hadi hapo ni buku nne.. inabaki 16,000 nitafanyaje na hiyo hela ? Nisije onekana kibakaVitu vidogo ivyo tafuta 20000 siku uwendee
Ndo kanuni unaempenda zaidi ndo ataekuumiza zaidi mapenz ndo yako hivo mtuusiempenda hawez kukuumizaWhy number 5
Kwakweli ongeza 30000 hapo๐๐๐๐ buku 20k, pale nitafanyaje .. nauli tu ya kunitoa home hadi hapo ni buku nne.. inabaki 16,000 nitafanyaje na hiyo hela ? Nisije onekana kibaka