National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Hapa nakusaport asilimia mia ya mia kama umeanza kuskiliza za huyu jamaa
2019.... ishapita mika mitatu now...Mpaka moyo umeshtuka, kumbe natoka mbali hivii..!!🤭
Simu za mangi dukani anakumbushia pesa yakeAnajifanya yupo bize na mboso
Leo upo na mood so poa...Nisichopinga mimi nampendaaa 😅😅🤨
View attachment 2527811
Shuka mistari shuka.......😂😂🎶🎶🎶🎶😊😊😊😊
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
😅😅😅😅Shuka mistari shuka.......😂😂🎶🎶🎶🎶
Kalipe deni usije kufa deni la watu hujalipa?Simu za mangi dukani anakumbushia pesa yake
Ww nae unataka kubebe mzigo wa mtu 😂😂 harmonize kaushindwa ww utaweza😊😊😊😊
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
Kujipa raha muhimu mzee.. japo hakuna mahelaLeo upo na mood so poa...
😅😅😅😅😅Ww nae unataka kubebe mzigo wa mtu 😂😂 harmonize kaushindwa ww utaweza
Kuna mtoto wa mtu anakufa wewe unawajua wanawake wa kitanzania😅😅😅😅😅
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling
Na ntafika nao kiume
Ahaha matumizi ya hizi picha ni punyeto
🫢🫢 asee huwa sipigi punyetoAhaha matumizi ya hizi picha ni punyeto
Kiukweli,2019.... ishapita mika mitatu now...
Ongera sana mkuu🫢🫢 asee huwa sipigi punyeto