National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Mie za mtu mwingine ku play huwa sizipendi maana kwanza simalizagi hadi mwishoHuwa naangalia nikiwa nasafili kupitia tv ya basi 😂
Mie za mtu mwingine ku play huwa sizipendi maana kwanza simalizagi hadi mwishoHuwa naangalia nikiwa nasafili kupitia tv ya basi 😂
Dah! Jamaa ulikuwa kembamba kinoma 😅😅😅Na bigman ,hapo hela za mzungu zilikuwa zinatafutwa mnoooo.Sijui mke wangu alinipindea nini mbona nilikua nimenyauka sana😀😀😀View attachment 2527760
Mimi naona zinajaza space tu kakaMie za mtu mwingine ku play huwa sizipendi maana kwanza simalizagi hadi mwisho
Sanaaa nilikua naitwa mbavu nene + njaaa hatari sana.Dah! Jamaa ulikuwa kembamba kinoma 😅😅😅
Watnzania tunaanza kuzeeka kwaza theni ndio tunakuja kuwa vijanaNa bigman ,hapo hela za mzungu zilikuwa zinatafutwa mnoooo.Sijui mke wangu alinipindea nini mbona nilikua nimenyauka sana😀😀😀View attachment 2527760
Njaa sio jambo la mchezo.Watnzania tunaanza kuzeeka kwaza theni ndio tunakuja kuwa vijana
Hamna hata kawaida.. mie kuna kipindi nasikiliza audio tu, leo ndio na mood ya videoMimi naona zinajaza space tu kaka
Mke wako alibet na mkeka ukatikii 😅😅😅😅 sio hivi vi slay queen vinachana sana mikekaSanaaa nilikua naitwa mbavu nene + njaaa hatari sana.
Komando huyo.Mke wako alibet na mkeka ukatikii 😅😅😅😅 sio hivi vi slay queen vinachana sana mikeka
Af kesho uje umuone mkeo ana maana wakati alikupenda ukiwa kimbaombao 😂Njaa sio jambo la mchezo.
Enjoy mkuuHamna hata kawaida.. mie kuna kipindi nasikiliza audio tu, leo ndio na mood ya video
Kweli bahati ilichangia aisee.Af kesho uje umuone mkeo ana maana wakati alikupenda ukiwa kimbaombao 😂
Mwenzake baraka da prriceJamaa anajua sana kulialia 😅😅
Duuuh 🙌🙌🙌Wee angalia hapo juu uhoni call
Anajifanya yupo bize na mbosoDuuuh 🙌🙌🙌
Ndo hawa wanakosa simu za madili😂😂😂Anajifanya yupo bize na mboso
Mpaka moyo umeshtuka, kumbe natoka mbali hivii..!!ðŸ¤kumbukizi