Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,838
unapigiwa simu upokei mzee kisa mbosso
unapigiwa simu upokei mzee kisa mbosso
Mboso khan huyo...
😂😂😂😂😂 Ya kweli hayo National Anthemunapigiwa simu upokei mzee kisa mbosso
Wee angalia hapo juu uhoni call😂😂😂😂😂 Ya kweli hayo National Anthem
😅😅😅 banaa wewe usiku huu simu za nini, kesho nayo sikuunapigiwa simu upokei mzee kisa mbosso
😂😂😂😂😂 Ya kweli hayo National Anthem
Utakosa bahati simu nyingine ni za teuzi😅😅😅 banaa wewe usiku huu simu za nini, kesho nayo siku
Jamaa anajua sana kulialia 😅😅Mboso khan huyo...
Mwanangu wa kisewe hukooo
Sitowezana nao, nahisi kama watakuwa wana nipotezea mdaMakampuni ya ges, mikopo, miladi mbalimbali ila unatakiwa uwe mpole sana sasa ww sijui kama utawezana nao
Toka nimemaliza TEKU 2009 sijawai pokea simu ya maanaUtakosa bahati simu nyingine ni za teuzi
Ahaah ina kuja soonToka nimemaliza TEKU 2009 sijawai pokea simu ya maana
Ahahahh ila utajifunza mengi zaidSitowezana nao, nahisi kama watakuwa wana nipotezea mda
Watu waliofanikiwa wapo kama motivation speaker.. vilivyo nyuma ya mafanikio hao hutosikia wanakuambiaAhahahh ila utajifunza mengi zaid
Ila mimi kuangalia video ya wimbo naona kazi ngumu kama audio ipo basi inatosha sanAaah! NadekezwaView attachment 2527758
VIdeo zina raha yake mda na mda sio kila mdaIla mimi kuangalia video ya wimbo naona kazi ngumu kama audio ipo basi inatosha san
Ila kweli ila kwana mna fulani watakupushWatu waliofanikiwa wapo kama motivation speaker.. vilivyo nyuma ya mafanikio hao hutosikia wanakuambia
Acha nipambane na hali zangu.. ona day itakuwa yes tuIla kweli ila kwana mna fulani watakupush
Huwa naangalia nikiwa nasafili kupitia tv ya basi 😂VIdeo zina raha yake mda na mda sio kila mda
Ishi kweny dhana ya humanistic theoryAcha nipambane na hali zangu.. ona day itakuwa yes tu