National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
😅😅😅 ni picha nzuri tu nazipenda
😅😅😅 ni picha nzuri tu nazipenda
Haya bhana😅😅😅 raha baiskeli
Mapenzi gharama ooooh....
Hii nyimbo sasa🙌🙌🙌Mwachiluwi mie natoka insta nahamia youtubeView attachment 2527641
Hamia tinder kule ndio utakinai wewMwachiluwi mie natoka insta nahamia youtubeView attachment 2527641
HUko nasikia ni wauzaji mie hapana hukoHamia tinder kule ndio utakinai wew
Nitafute pesaa nijishaueeeMapenzi gharama ooooh....
Ahahah sasa ww unatakiwa ujiunge na club house maana kule weengi ni mameneja wa kampuniHUko nasikia ni wauzaji mie hapana huko
Mameneja wa kampuni za nini tenaa🙄🙄Ahahah sasa ww unatakiwa ujiunge na club house maana kule weengi ni mameneja wa kampuni
Sasa nashangaa unapotaka kuja kutafuta Ph nini sijui😂😂😂😂Nitafute pesaa nijishaueee
Makampuni ya ges, mikopo, miladi mbalimbali ila unatakiwa uwe mpole sana sasa ww sijui kama utawezana naoMameneja wa kampuni za nini tenaa🙄🙄
unapigiwa simu upokei mzee kisa mboso