Astaghfirullah🥺Hapa kuna kitimotto,mnavu,nyanya chungu na ac.yake ugali
Astaghfirullah🥺Hapa kuna kitimotto,mnavu,nyanya chungu na ac.yake ugali
Hongera.yeah hata vitu vingine .. Labda itokee tu
Umetoklezea mwenyeweView attachment 2526839
Ibada leo ilikuwa good nimebahatika kukutana na paula kajala yule mtoto ni chombo ni halali reyvan kulilia pale
Umekumbuka nini Muree?
ni trait tu . Kungangania kitu kwa nguvu zote .Hongera.
# katika dunia hi ya leo..
Hutakiwi kumchukia mtu eti kwa sababu yeye anakuchukia.
Umuheshimu kila aina ya binaadamu aliyemuumba mungu.
Awe mtoto, mkubwa, mzee, au kijana wote unawaweka kuwa sawa.....
Leo inawezekana una uhakika kuwa unamjua mbaya wako.
Lakini uwezi kumjua mtu atakaekupa mafanikio......

Maana yakeAstaghfirullah🥺
Maana yakeAstaghfirullah🥺
Maana yake nampenda ChakoriiMaana yake
😅😅😅 kawaida yangu, haya yote matokeo ya kutokuwa na kaziKama kawaida unakula kwa macho![]()
Ngoja kwanza nimalizie kukuchekaUmekumbuka nini Muree?
