Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kuna kitu nilitaka kuandika😆😆nakusalimu mkuuNa mie mtoto bado.. nipo hapa instagram naendelea na kazi maalumuView attachment 2527289
Kuna kitu nilitaka kuandika😆😆nakusalimu mkuuNa mie mtoto bado.. nipo hapa instagram naendelea na kazi maalumuView attachment 2527289
Nazidi kubaki kichwa.. nipo maswaa nije uninunulie kahawaKuna kitu nilitaka kuandika😆😆nakusalimu mkuu
Bona umepiga picha dishi langu.. 🤨🤨🤨💚 💚💙💙💙
😃😃😃jaribu kupunguza yale mambo kidogo.Nazidi kubaki kichwa.. nipo maswaa nije uninunulie kahawaView attachment 2527301
🙂🙂🙂🙂 mambo gani tena..😃😃😃jaribu kupunguza yale mambo kidogo.
Fanya chap kaka mkubwa upate strong cupchino😆
Ya kunywa Redbul sana.🙂🙂🙂🙂 mambo gani tena..
Goja nisake usafiri hapa nije .. dah kidogo nipoze machungu ya msoto
Sasa hivi ndo nauona huu ujumbe..woi😅😅😅 mpishi wa muhimu zaidi kuliko chakula B.. nimuone kwanza mpishi
🥲🥲 Kuna kipindi nilinenepa ujue.. kweli acha nikae mbali na redbul sije kuwa chuma ulete kwa afya yanguYa kunywa Redbul sana.
Fanya chap.
Umeshakula lakini?
Wewe si wa kuwa na machungu ya msoto ujue😁
😌😌😌😌 eeh chakula bila mpishi hakinogiSasa hivi ndo nauona huu ujumbe..woi
Imebidi nicheke kisirisiri..kwahiyo ulinenepaga😁😁😁..🥲🥲 Kuna kipindi nilinenepa ujue.. kweli acha nikae mbali na redbul sije kuwa chuma ulete kwa afya yangu
Mama kafungua nchi, ila wengine ni 🔥🔥🔥🔥.. sijala kwakweli nasubili mpakani wa leo na kesho
Nitakuachia radhi ujue😆😌😌😌😌 eeh chakula bila mpishi hakinogi
Nabahatishaga wengine wana huruma wanajibupo 🥲🥲🥲



et wanahuruma usitake sasa uhurumiwe weka picha fireKweli nilinenepa kweli, au sijui ndoa ilikuwa changa.. milo mitano kwa siku 🤣🤣🤣 ila sasa hivi kuna siku napita kama vile hamna kinacho endelea nasahahu hata kula 😅😅😅 nguo zilizokuwa zinanishika zimelegeaImebidi nicheke kisirisiri..kwahiyo ulinenepaga😁😁😁..
Kaka mkubwa Rebull sio nzuri kuwa kila mara ujue
Kaka pigana ingiza mawe ya kutosha ukija mjini huku utulishe bata ndugu zako😃.hebu kula acha mambo ya ajabu basi
Kuna kipindi tunahitaji huruma asee😅😅et wanahuruma usitake sasa uhurumiwe weka picha fire
Kwani radhi anau 🥸🥸🥸Nitakuachia radhi ujue😆
Hivi upo kweli, you know, rhetorically..
Kipindi cha ndoa lazima unenepe kaka sio Kwa mrembo yule💞❤️🔥💞❤️🔥Kweli nilinenepa kweli, au sijui ndoa ilikuwa changa.. milo mitano kwa siku 🤣🤣🤣 ila sasa hivi kuna siku napita kama vile hamna kinacho endelea nasahahu hata kula 😅😅😅 nguo zilizokuwa zinanishika zimelegea
Kuna kipindi tunahitaji huruma asee![]()