Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaaan mpka kawa expert jua kapitia mengi...
Na mi sitaki kasheshe kwa kweli nataka utulivu
Expert mpe Phd National Anthem ana experience nao
Ooh kumbe waogopa hivyo. Ila kuna wanaoishia kunawa tu au kuyaona maji ya kunawa na hawajala kabisa. Wakogo na hasira tu, usiogope mdogo ake kabisa. Isikutishe hiyo Expert inaweza kuwa member na mieleka mingi tayari 😄😄😄😄😄
 
Kama unamjua.. mtaje
Nipo hapa nasubiri hiyo bahati
 
Wewe sababu bado mdogo pia, utaletewa 18 yaani chuchu konzi. Wazee ndiyo watapata vikongwe wenzao 😂😂😂😂😂
Nyie vijana acheni nikale nitarudi karibunu lunch ...
Screenshot_20230222_131330_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom