Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee mi matunda nishayazoeaa babuu hakuna diet wala daktareeee!!
Babu Kwahio hapo unaumwa uko kwenye dozi ya kula matunda kwawingi 🤔🤔🤔????
Hapa nipo kwenye dozi ya matunda, Daktari kasema eti kutokana na umri wangu wa miaka 83 natakiwa niwe nakula matunda na mboga za majani kwa wingi 🤪

Kumbe mjukuu wangu unazingatia afya, Kongole kwa Mkwe wangu (Mjeda) kukuhimiza 🤗
 
Laki mbili ndogo sana
Kuna jimama nililipiga style ya kipwagizo plus mguu kwenye neti yani kiuno kinabinuka kwa juu hivi kwa mbali unamuona shetani haki yule jimama alipandisha mashetan kesho yake kanipa laki 3 cash plus Shopping
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa nipo kwenye dozi ya matunda, Daktari kasema eti kutokana na umri wangu wa miaka 83 natakiwa niwe nakula matunda na mboga za majani kwa wingi 🤪

Kumbe mjukuu wangu unazingatia afya, Kongole kwa Mkwe wangu (Mjeda) kukuhimiza 🤗
Eendiwoooooooo anything for afyaaaa babuuu!!
Ni kweli kwa umri wako ni vema kuzingatia afya bila kusahau mazoezi babuuu!
Pongezi zimefikaaaa kasema usubirie tu like koti lako toka Italy 🤗!
 
Back
Top Bottom