Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Ohoooo πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUa la kipekee lol
Ohoooo πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUa la kipekee lol
mtag basi , haujamboOhoooo
Umeamkaje lknmtag basi , haujambo
Kuna siku nilijaribu saa tano tu nikaanza kutafuta masafuria ya watu yalipoView attachment 2508801
Ukianza hii tabia ya kulalia matunda hakikisha una kiporo cha wali kwenye fridge
Hello Monday![]()
nipo poa kabisa na weweUmeamkaje lkn
Hizo chuchu hatari aisee.
Umechelewa nishaondokaNimekuja
Kuna siku nilijaribu saa tano tu nikaanza kutafuta masafuria ya watu yalipo


nyie siwaweziAyaaaaaπββοΈπββοΈπββοΈπππUmechelewa nishaondoka
Nakusalimia mdogo wangu Tinsley πnipo poa kabisa na wewe
Lol namie Naomba matrundaaa babuuuu nayapendrajeeeeeeπππππππ!View attachment 2508801
Ukianza hii tabia ya kulalia matunda hakikisha una kiporo cha wali kwenye fridge π€ͺ
Hello Monday π₯
Boss lady shikamooShougaaangu cocastic nimemiss kigodoroooo fanya ukuje kunibless asubuhi yangu ikae sauwaaaaaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Shika mwenyewe mr vocha Shikamoo yako nimeidindiaaa!πππBoss lady shikamoo
Hili zoezi huwa ni gumu sana kwa sisi Wanaume tunaofanya kazi ngumuπ€ͺKuna siku nilijaribu saa tano tu nikaanza kutafuta masafuria ya watu yalipo
Hello Mjukuu π₯Lol namie Naomba matrundaaa babuuuu nayapendrajeeeeeeπππππππ!
Hope you enjoyed them granpa
Helloowww β!
Chakula cha Saa 8 usiku chakula gani hiko babuuuπ! π€Hili zoezi huwa ni gumu sana kwa sisi Wanaume tunaofanya kazi ngumuπ€ͺ
Mwenyewe nilipitia hiyo changamoto awali, nilijikuta nimeamka saa 8 usiku kutafuta chakula. Bahati nzuri kulikuwa na mayai kwenye fridge