myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Angalia 160 utaona tangazoNi lini hiyo party?
Nitafute sponsor mapema
Unataka msaada af unaleta jeuri, utakula jeuri yako ohoooAngalia 160 utaona tangazo
Usinichoshe
Njoro wa uba ikianza nibeepUnataka msaada af unaleta jeuri, utakula jeuri yako ohooo
Niko busy 158
Unaipenda kumbe eeh😀Njoro wa uba ikianza nibeep
Nisiposaidika sifii
Sijaliiii
🤣 kuna siku niliifuma, nikaielewa. Ndo naichunguliaga chunguliagaUnaipenda kumbe eeh😀
Ni nzuri sana, very funny..🤣 kuna siku niliifuma, nikaielewa. Ndo naichunguliaga chunguliaga
Ingependeza zaidi ukakomaa nae akupe mwenyewe ndugu mjumbe mi mwenyewe yakwangu yananishinda 😂😂😂😂😂😁!
Unanikazia eti tutakutana tuIngependeza zaidi ukakomaa nae akupe mwenyewe ndugu mjumbe mi mwenyewe yakwangu yananishinda!
kitalembwa hakuna kutoa password za kijiwe pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!



😂😂😂😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unanikazia eti tutakutana tu![]()
Ok
Mrare unono wanaselfika!!![]()
Mkemwenza punguza wivu mbona mie akijaKwako kupata vitu vyeupe sinuni![]()





kwan wee sio mweupeee sasa mke mwenzaa?? Nakulogaaaaa.Mwenzioo nasubiriiii hapaaa, mama swaumu atanitoa rohooo khaaah.Desemba na Njanuari mambo yalikua mengi shougaaangu ngoja nisemezane na bossi kubwaaa Usijareee kabisaaaa!!
Umekujaaaaaaa??? Nilifumwa naibaa mbao za serikali ya kijiji ndo nkatolewa marinda hox.Niaje we jamaa, kwema?
Hivi ilikuaje ukapoteza rinda zako zote?
Hebu tuambie lazima kuna sababu either ulifumwa au ulikula cha mtu, au tamaa tu..






