Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Asee unataka kutupeperushia njiwa zetu.Waongo haooo usiwasukilizeeee pilot...Nilishakoma kuwa na mtu humu sirudiii trenaaaaaa!!![]()
Asee unataka kutupeperushia njiwa zetu.Waongo haooo usiwasukilizeeee pilot...Nilishakoma kuwa na mtu humu sirudiii trenaaaaaa!!![]()
Babu kijanaNitoleeni laana za rejareja mieee siwezi rara na babu Yanguuuuu![]()
Li Babu la mchongoNilishasemaga humu siwaweziiiiii mieeee moyo Wangu mdogooo sana kuhendo kukurukakara zahumuuu!!Acha nipambane naharee yangu tyuuuuu mieee
AchaAiiiijjjjajajajajajajajaaaaaaaa ni Anatrooo yule mzeeee nyieeee nhiiiii Acha kabisa![]()
Kwamba hutaki ugonjwa wa moyoHumu siwaweziii mieeee sitaki hekaheka zenyuuuuu poka niwache nipambane naharee yangu mieee!
Hio mali ya bibi tyu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
NiUnaecti we ni mzee ilhali ni kijana shababi umedhamiria kukitawanyisha kabisa kitumbua cha boss lady!
Kwa mjukuu wangu, over my deadbody 😎
Huo umri ni wa mjukuu wangu watatu kutoka mwisho 🤪Li Babu la mchongo
Halina kisukari wala presha
Limezaliwa 87
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sitaki nataka huyoAntonnia nenda kamfollow babu tafadhali onyesha upendo na ukarimu unakuwa kama sio mkaguru jamanii wa morogoro? Looh!
Msheeendweeee sitrakiii mie 😎😎😎!
Kabisa mkuuu Sitakii kabisa!!Kwamba hutaki ugonjwa wa moyo
Mimi pilot???🤔🤔🤔🤔?? Napeperushaje tena jamani doh!!Asee unataka kutupeperushia njiwa zetu.
Unapoweka mgomo huo na wenzio wanatuona hatufai, fungua moyo.Mimi pilot???🤔🤔🤔🤔?? Napeperushaje tena jamani doh!!
Alikuwa Mwanza last yearMy boss lady tangu enzi zile unaanza join JF na avatar zako zile za vipensi najua huna baya na mtu ni mkarimu mwalimu mwenye masters yake hupendi stress wala manyanyaso! Embu fungua mtima wako umkabidhi babu funguo za moyo wako autibu kwa busara za uzee wake na hekima ya umri wake akupende na kukutunza kwa usawa wa uzuri wako na mwisho tunajua umeanza kucheza tena vicoba na bado unadaiwa marejesho kila mahali embu acha babu atibu hilo tatizo la kipesa Antonnia
Umekoma auWaongo haooo usiwasukilizeeee pilot...Nilishakoma kuwa na mtu humu sirudiii trenaaaaaa!!![]()
Humu wanapeleka moto eeh?Hahaha Vicoba My sweetdaddie ashamaliza trabu zoteeee!! Hio ni mali ya bibi tyu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz muheshimu babu yetu kwanzaaa!!!
Unajua fika mie Humu nishashindwaga kitrambo sana sitaki rudia tena makosaaaa hekaheka zenu sio ndogo humuuuu binafsi sezeweziiiii![]()
Unapiga tekeBora uzima maisha ni matokeo tyuuuuuu!! Abaki na pesa zake au awape wengine mie sitrakiii!!