kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Eendiwoooooooo Ndugu mjumbe play safe guys!!🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️✌️✌️
😂 Unaecti we ni mzee ilhali ni kijana shababi umedhamiria kukitawanyisha kabisa kitumbua cha boss lady!Poker huo umri unaotaja nilifikisha miaka ile nafanya kazi kwenye Kasri la Malikia Elizabeth lililokuwa Chini ya Gavana Richard Tunbul miaka kenda Kabla ya Uhuru wa Tanganyika 🤗
Kwahiyo kama ni chumvi nimekula sana kwa umri huu 🤪
Mm mzima kabisa my future babee nice kwa kuitikaNa afya tele..sijui wewe
Tupe experience tuone na sisi tunafiti wapiAiiiijjjjajajajajajajajaaaaaaaa ni Anatrooo yule mzeeee nyieeee nhiiiii Acha kabisa![]()
Kwahyo nimekutag nimekusalimia weee umejikausha kau kama kau kau! Unaninunia mimi au umemnunia Carrasco putin 😂Poker haujambo
😂 Nimekuona nimemkumbuka mwanangu kasuku National Anthem njoo utusalamie huku selfika boss.
Kapotea sana asee😂 Nimekuona nimemkumbuka mwanangu kasuku National Anthem njoo utusalamie huku selfika boss.
Usifanye Mume wake Mjeda apunguze uaminifu kwa Babu yake hapa, maana last time walihaidi kuja kunitembelea upcoming Easter.😂 Unaecti we ni mzee ilhali ni kijana shababi umedhamiria kukitawanyisha kabisa kitumbua cha boss lady!
Unanipeleleza eti?Vp lakini pilot rafiki yako Lizzy ni mzima?
Kwahyo nimekutag nimekusalimia weee umejikausha kau kama kau kau! Unaninunia mimi au umemnunia Carrasco putin
Ningependa kujua tu si huwa ni mdau wetu wa selfika kwahyo lazima kujua hali yake mkuu Post M-alone ebu nijuze kidogo.Unanipeleleza eti?
Ahsante sana kwa kuibariki siku.