kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Haya bana AntonniaUmechelewa ndugu mjumbe leo nilipita kuwasabahi one time ndugu zanguni!
Haya bana AntonniaUmechelewa ndugu mjumbe leo nilipita kuwasabahi one time ndugu zanguni!
Nilishasemaga humu siwaweziiiiii mieeee moyo Wangu mdogooo sana kuhendo kukurukakara zahumuuu!! 🙌🙌🙌🙌🙌Acha nipambane naharee yangu tyuuuuu mieeeMwambie akusikie
Asije anzisha siredi
Naomba msaada wa kurudisha kizazi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nimekudoa macho kama askari wa msafara AntonniaUsipepese hata kopeeee napita kama nilivooooooo ndugu mjumbe
Ndriiiooo ndugu mjumbe!!
Poker huo umri unaotaja nilifikisha miaka ile nafanya kazi kwenye Kasri la Malikia Elizabeth lililokuwa Chini ya Gavana Richard Tunbul miaka kenda Kabla ya Uhuru wa Tanganyika 🤗Acha kumkana tajiri Grahams na sio mzee ni kijana wa miaka 35 alibahatika kupata pesa udogoni na si ndio alikupiga pin kuja huku selfika?
Aiiiijjjjajajajajajajajaaaaaaaa ni Anajuaa mambo yule mzeeee nyieeee nhiiiii Acha kabisa💃Achana naye huyo jongoo anawika kweli
Nawe fanya kuibles jioni yangu walau nibatasamu ndugu mjumbe
Unatuachaje kikavu hivi dearr lol! kitrambo sana ujue!! Nisubiri tuongozane namie naelekea huko🚶🏼♀️🚶🏼♀️ kipenzi kiduku mpapaso nasubiria baraka zako niende na RumeePoker furahia jioni yako kijana wangu
Nilikuwepo
Huo umri ni wa mjukuu wangu wa mwisho 😎
Kesho ndugu mjumbe Antonnia mapema tuNawe fanya kuibles jioni yangu walau nibatasamu ndugu mjumbe