Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂 Ila Grahams mbona unajua kutudanganya hivyoo nia na dhumuni lako hiyo easter ukisogeze kizazi cha mtoto wa mwanaume mwenzio 😂 una miaka 104 😂View attachment 2498517
Walai poka umenishinda tabiaaaaaa nakugawaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🤣😂🤣😂🤣

Hebu nielekeze kuangalia following na followers kwanza hahaaa babu ana followers wengiii😜😜😜😜!!
 
😂 Ila Grahams mbona unajua kutudanganya hivyoo nia na dhumuni lako hiyo easter ukisogeze kizazi cha mtoto wa mwanaume mwenzio 😂 una miaka 104 😂
Ninaposema nimepigana vita za Dunia unadhani mchezo, hiyo vita vya pili vya Dunia 1939- 1945 sisi Tanganyika tulikuwa upande wa Muingireza 🤪
 
Poker nakugawaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😄😄😄😄😄😄😄😄! Hebu Toa hio screenshot yako ya kimbea kwanzaaa!😄🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
 
Poker nakugawaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😄😄😄😄😄😄😄😄! Hebu Toa hio screenshot yako ya kimbea kwanzaaa!😄🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
Nimeidelete kwa heshima yako na babu kijana Grahams
 
Walai poka umenishinda tabiaaaaaa nakugawaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🤣😂🤣😂🤣

Hebu nielekeze kuangalia following na followers kwanza hahaaa babu ana followers wengiii😜😜😜😜!!
Ila mfollow back huo ndio upendo wa kweli unajua faida ya kumfollow mtu hata akibadili username bdo unamuona vizuri mfano hai ni juma mpemba Rumaiya yna2 a.k.a Ms cee
 
Back
Top Bottom