Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,225
Eendiwoooooooo mi nabisha Wigee!! Usintafutie laana za rejareja ujue 😂😂😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eendiwoooooooo mi nabisha Wigee!! Usintafutie laana za rejareja ujue 😂😂😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uzee upi alionaoWeee Poka tasavali mi hata simjui huyo mzeee !!
Nitabisha hadi asubuhi, nina umri mkubwa mjue 😅
Sheeeeendwaaaaaaahh!! Wengine hujawaona hadi unitafutie dhambi na babu lakini!! Sijapentaaaa🤣!!Babu kijana acha kutuzuga tunajua fika hiyo mali safi kama almasi au tanzanite ni yako ila nakuonea wivu mzee unakojoa pazuri mnoo! 🥺 Alafu kila nikiwaza hips zake na lile wowowo lake na mzee Grahams una bahati sana mkiachana unijulishe please!
Wigee Nacheka hadi nataka kujikojolea huku ujueee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Nifanyie mchongo kwa Antonnia
Unajua kutunza mvuviKwa urembo huu akija Poker au Wigelekelo kutoa mahali lazima Babu hapa nitake koti kutoka Italy.
Nimefanya kazi kubwa mno kumlea na kumlinda Mjukuu wangu![]()
KwemaSheeeeendwaaaaaaahh!! Wengine hujawaona hadi unitafutie dhambi na babu lakini!! Sijapentaaaa!!
Juzi alifikisha 25Acha kumkana tajiri Grahams na sio mzee ni kijana wa miaka 35 alibahatika kupata pesa udogoni na si ndio alikupiga pin kuja huku selfika?
Mnataka nikufwe haraka kwa Presha, kuweni na huruma kwa Wazee 🤪
Kwema sana EliKwema
Wewe komaSio li Babu tasavali muite babu Yangu vizuri pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Kumbe babu Grahams ana 25 years nyieee nilikua sijuiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vizuri sana kama ni kwema sana AntonniaKwema sana Eli
Achana naye huyo jongoo anawika kweliMi nina kizee changu sitaki trabuuuuuuu Vijana hekaheka zenu siwaweziiii!! !
Mtake radhi babu yanguuu Wigeee !! Sio libabu ni babu 😄
Umemuona mvuviWigee Nacheka hadi nataka kujikojolea huku ujueee!