Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lazima niwepo, hamna namna.
Tuombe tu uzima

Hahaa isije kuwa ndio nishatelekezwa na nishaanza kujiandaa, em akuje kwanza atoe neno nafsi yangu ipate tulia
Yah muhimu uzimašŸ™
Anatelekezaje mrembo? Kama umejiandaa tayari tupia pic moja itamtoa huko alipojifichašŸ˜…
 
Back
Top Bottom