Siku ya kwanza mtoto wa kike makini atakunywa kwa kiasi tu😊Savana moja13000 unategemea atakunywa ngapi hili afurahie maisha
Najuta mieMbaya sana hii😅
Asante kwa kujali, you are such a gentleman
Haya nitumie hela ya bolt mie nijienjoy kwenye ac
Kabisa, siwezi haribu siku ya kwanzaSiku ya kwanza mtoto wa kike makini atakunywa kwa kiasi tu😊
Mtoto affordable kabisa😍Na hua sizidishi 2 kwakweli
Hapo nasindikizia chips na ribs😋
Siku ya kwanza mtoto wa kike makini atakunywa kwa kiasi tu![]()



Sina hata mia mbovu hapa ndugu yanguIna maana wewe huna akiba ndani? Utumie ukija uku nakuludishia
Ahaaa unapoteza points mkuuIna maana wewe huna akiba ndani? Utumie ukija uku nakuludishia
Na hua sizidishi 2 kwakweli
Hapo nasindikizia chips na ribs![]()



Ndiwoooooo🥰Mtoto affordable kabisa😍
Sina hata mia mbovu hapa ndugu yangu
Em mfundishe jamanAhaaa unapoteza points mkuu
Hayo ndio maneno sasaDah ngoja nikufwate mwemyewe
Kijana anafeli sana daahEm mfundishe jaman
Kwani bajeti yako sh ngapiUna jua bei ya chips pale?
Au mnataka nifirisi![]()
Ewaaaa hapo sawangoja ni mfwate basi
🤣🤣🤣Wew wengina hawana aibu asa huyu anaetokea charambe uko ogopa![]()
Wewe unafaa kabisa😍Ndiwoooooo🥰
Nikizidisha hapo kichwa kinalemewa inakua mateso badala ya kuenjoy.