Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah watu wa ushuani mna mazarau [emoji23]
Kwani wewe uko wapi

Boda boda si zipo nafika mjini chap.
Niambie basi nianze kutoka au

Nipo hapa sinza palestina

Boda boda si utafika sura imepauka kisa vumbi mamy?

Kwanini usichukue bolt?
 
Shida ni huko charambe mzeee [emoji23][emoji23][emoji23] atakuja na wezake 30 wakat mimi bajet yangu 20000 tunaenda kunywa maji ya dasani tu mpaka lita itimie [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣
Tutakuja jumla watano tu, hata sio wengi ila 20,000 asa itatoshea nini jamani
Si nitarudi home hata sijashiba nianze kupasha viporo
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuja jumla watano tu, hata sio wengi ila 20,000 asa itatoshea nini jamani
Si nitarudi home hata sijashiba nianze kupasha viporo

[emoji23][emoji23][emoji23] au ukuje na kuku uwachukue pale kwa azizi ally af uwaweke kwenye mkoba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom