Selfika na JF: Snap it. Show it

Mchumba hadi eat sum more umegoma[emoji15][emoji15]
 
Bebee umekua mwimba mashairi tangu lini?
 
Ila humu ni balaa nakwambia Antonnia naye yupo busy kumpepea babu Grahams muda si mrefu utasikia mzee wa watu kafia kifuani kwa utamu [emoji23]
Kuna kitu kinanishangaza

Kuna muda wote wawili wanapotea

Halafu wanarudi ghafla

Itakuwa wanapelekeana moto hawa

Kama Maya na Masta

Na lenyewe linakiri kabisa

Linapenda kupelekewa moto



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…