Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Naenda sokoni kununua mchichatayaariii🥲🥲
Naenda sokoni kununua mchichatayaariii🥲🥲
Best mambo ni 🔥🔥🔥🔥 siku kama ya leo, umejifungia na babe full kipupwe na love songs tu. Pako Romantic 😘Bantu Lady nakuona maeneo yenu wakubwaView attachment 2489980
kuchuma mchicha labda 🥲🥲🥲Naenda sokoni kununua mchicha
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Saturdaying[emoji991]View attachment 2489982
huku waangalia Meli zashusha shehena za mizigo pale TPABest mambo ni 🔥🔥🔥🔥 siku kama ya leo, umejifungia na babe full kipupwe na love songs tu. Pako Romantic 😘
vipi mzima weweHellow dear [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Duuh🤣🤣🤣kuchuma mchicha labda 🥲🥲🥲
😒😒😒😒😒😒Duuh🤣🤣🤣
Uko wapi nikuje😒😒😒😒😒😒
😒😒😒😒😒 kachume mchicha kwanza, nitakuambia pa kuuletaUko wapi nikuje
Nitakupiga Ban, picha ma emoji na marangj hata haionekani haaaTinsley
Mie ni chizi wa kucheka cheka hovyoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mda wote meno yako nje, utadhan nafanya matangazo ya white dent.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2489987
Karibu sana jisikie upo nyumbaninikaribishe tu banana, unanikaribisha huku unanikatisha tamaa
Kwann mimi na lovie Poker 😁Good morning Depal na Lenie
Good morning Grahams na Antonnia
Good morning Mjep na cocastic
Good morning National Anthem na Lizzy
Good morning Poker na Tinsley
Good morning raraa reree na Lovelovie
Good morning Wigelekelo na Saint Anne
Good morning Carrasco putin na sabuni ya jamaa! 😂
😋😋 karibu maeneo basi kwanzaKaribu sana jisikie upo nyumbani
Mie mzimaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]vipi mzima wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakupiga Ban, picha ma emoji na marangj hata haionekani haaa
Utachomwa moto wewe,😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natangazaaa dawa za menooo. Uwiiiiiih.
una meno mazuri una haki ya kucheka muda wote .Tinsley
Mie ni chizi wa kucheka cheka hovyoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mda wote meno yako nje, utadhan nafanya matangazo ya white dent.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2489987
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa. Kuna mtu juzi ananambia wee utakuwa kuni huko motoni. Lol.Utachomwa moto wewe,[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] tanteeeee dear.una meno mazuri una haki ya kucheka muda wote .