Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,283
- 183,172
Kabisa no way!Tutamloga [emoji2][emoji2]
Sema master yupo Gado sana alipikwa akapikika kuanzia na Mama Monie hadi kwa yule maza mwingine wa kisukuma plus mganga wa kule unguja..na kupewa na hirizi juu mabangiri 😂😂😂😁! Mtamuweza kweli????😁