Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,007
- 184,721
Hahahaaa.. ! Ulikua noma sanaa ndugu mjumbe! Yani kuna muda punda haendi bila viboko hakuna namna inapobidi tunavitumia!Unaujua muanzi wewe nilikua ndio kazi yangu kupeleka fimbo shule kwa hapo nilivyona fimbo nikakumbuka kitengo changu ujue