Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,579
- 235,426
Sawa tu😒Kwa kweli simu ninayotumia camera mbovu..
Sawa tu😒Kwa kweli simu ninayotumia camera mbovu..
Nakutumia.Sawa tu😒
Baadae sasa..Sawa tu😒
Sitaki mambo ya baadayeBaadae sasa..
Biashara asubuhiNakutumia.
Wamekaza aseeNimepita leo sijabahatika![emoji1787]
MhhBiashara asubuhi
Sawa.
Really? Feels like you're upset, what's up, hivi we mbona unapenda sana picha...Sawa.
We nitese tu.
Nafurahi tu ninapowaona watu ninaowaadmire.Really? Feels like you're upset, what's up, hivi we mbona unapenda sana picha...
Poa nakutumia..Nafurahi tu ninapowaona watu ninaowaadmire.
Dah😡Poa nakutumia..
Aaaaaaah swagggzzzz enyeweeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cocastic unaweza kupigilia hivi vitu?View attachment 2484911
Kumekuchaaaaa!!!Kiungo mshambuliaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ndiyo ingekuwa na maisha halisi, ex mnakuwa hivi raha eeeehh? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF idumu tu, maana tuna hadi maex wa mchongo [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] samahaniii lkn, hata siijui jinsia yangu.Samahani lkn, naweza kufahamu jinsia yako?
Una mahusiano gani na gays?
Nimetanguliza samahani
Wee tenaaaa? Nahisi uli ni mic mnooooo.Jf nzima hakuna pisi kama hio,ni mrembo sana