Wanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.
Ukidate na mtu wa hivyo hata kama alikununuliaga Kiwanja au alikupelekea matofali Site mkiachana anakuja kuyabeba kabisa.
Na kama alikufungulia biashara anakuja kuihamisha kabisa.
Watu wa hivi ikitokea mmeachana ndiyo anakusemea mapungufu mara Kibamia sijui ukipiga kimoja chali n.k
Bora sisi tumezeeka, tumeamua kujipumzikia tu