Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana,uko vizuri Sana.

Nikikuona namkumbuka mwaliku wangu madam Muro,alikuwa anatufundisha chemistry..kile kishundu Kuna wakati ilikuwa nashindwa kuconcetrate wakati wa kuchanganya solution tukiwa maabara.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Lol hizi Kamera tyuu mkuu!
Niko flat kabisa mimi!!
Kazini navaa mibwanga sitaki makwazo na watuuu!!
 
Carrasco putin ulikua unauzilia my kishkwambii!!😂😂😂! Hayaaa hiko hapooo !
Vina kazi gani kwanza hebu mnipe somoooo mburula mieee!!🙃!!!
reymage
sophy27
Eti maazimio , Lesson plans pia tunaandalia humu????🤔🤔🤔
Hahha ndugu mwenyew nipo kama wew nimekiweka ndani kwanza hata sielew 😂😂😂😂
 
Cha ajabu ukienda pale kivukoni muda huu,utakuta nyomi la watu wamepanga foleni wanasubiri mwendokasi ya kukaa.
Na pale Kuna mwendokasi limeshajaa,hawataki kuliondoa eti wanasubiri watu wa kusimama hadi lijae lote na wakati posta ya zamani,halmashauri,kisutu,fire Kuna watu kibao watapanda.

Kwahiyo mnasimama kwenye foleni na magari mengine yamewekwa tu pembeni,ila wanasubiri wanataka watu wapande lililojaa tayari ,na watu hawataki lililojaa,wanasubiri lenye siti maana mbezi ni parefu.

Aliyewaroga viongozi na wasimamizi Tz alishakufa na vifaa vyake.
Duuh mimi sitasahau mwaka fulani kuna siku nilikuwa gerezani pale usiku, ilikuwa msimu wa mvua na kama unavyojua huu mkoa mvua zikinyesha, mafuriko na foleni kila kona plus shida ya usafiri mwee

Mimi nilikuwa natoka gerezani naenda morocco, sasa siku hiyo sijui waliamua kutukomoa abiria wa morocco, mwendokasi zote za morocco wakazipeleka kimara na mbezi yani tulipangishwa foleni tu

Nahisi waliona abiria wa morocco ni wachache hivyo wakatuweka pending kwanza, basi abiria wa kimara na mbezi nao hawapoi ilikuwa ni bumper to bumper, ikijaza moja iking'oa inayofuata nayo haikai dakika mbili inajaza inang'oa

Hapo unasikia wanatangaza abiria kituo cha kwanza ubungo terminal na bado imejaa dadeki, maana yake hiyo ni express ninyi mnaoshuka katikati hapo sijui fire hadi shekilango msipande, maana haishushi kiumbe

Daah yani katika siku nilizowahi kupanda mwendokasi nikakutana na kadhia ile siku sitakaa niisahau asee
 
Duuh mimi sitasahau mwaka fulani kuna siku nilikuwa gerezani pale usiku, ilikuwa msimu wa mvua na kama unavyojua huu mkoa mvua zikinyesha, mafuriko na foleni kila kona plus shida ya usafiri mwee

Mimi nilikuwa natoka gerezani naenda morocco, sasa siku hiyo sijui waliamua kutukomoa abiria wa morocco, mwendokasi zote za morocco wakazipeleka kimara na mbezi yani tulipangishwa foleni tu

Nahisi waliona abiria wa morocco ni wachache hivyo wakatuweka pending kwanza, basi abiria wa kimara na mbezi nao hawapoi ilikuwa ni bumper to bumper, ikijaza moja iking'oa inayofuata nayo haikai dakika mbili inajaza inang'oa

Hapo unasikia wanatangaza abiria kituo cha kwanza Ubungo Terminal na bado imejaa dadeki, maana yake hiyo ni express ninyi mnaoshuka katikati hapo sijui Fire hadi Shekilango msipande, maana haishushi kiumbe

Daah yani katika siku nilizowahi kupanda mwendokasi nikakutana na kadhia ile siku sitakaa niisahau asee
Pale gerezani jioni Kuna kugombania magari utadhani watu wanapambania ufalme wa mbinguni 🤣

Morocco huwa ni wachache sana..ile route huwa naitamani.
 
Back
Top Bottom