Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibuni Kimara Bonyokwa
DSC_0160.JPG
 
This is just chitchat watru wanapanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf sihamiiiiiiiii[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Yan wewe na Cocastic kwenye suala la kudraw conclusions mko vizuri sana[emoji1739][emoji1739]hua naishia tu kucheka[emoji1787][emoji1787]
 
Yan wewe na Cocastic kwenye suala la kudraw conclusions mko vizuri sana[emoji1739][emoji1739]hua naishia tu kucheka[emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa..ni storiess tu Hizo conclusions hazina uhalisia wowote wala hazibadili uhalisia!
Tuchat Tucheke nakufurahi siku ziende nothing serious banaaaa ✌️✌️✌️✌️✌️!!
 
Mwehh sina lolote kijeba miee!! Kamera tu hio Dr!
Hapana,uko vizuri Sana.

Nikikuona namkumbuka mwaliku wangu madam Muro,alikuwa anatufundisha chemistry..kile kishundu Kuna wakati ilikuwa nashindwa kuconcetrate wakati wa kuchanganya solution tukiwa maabara. [emoji3]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom