Haha, huko twaweza fika next level bila kujielewa, hapa panatosha sana tu.
Sperry-Top sider men's gold cup boat
Leo ni siku yangu ya kuwa casual, so one of my fav shoe toka katika my crazy shoe collection ni hii
#TheShoeTrendChallenge is still onView attachment 1267253
CC Mshana Jr Sakayo [emoji73]
Dah... [emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji116]mimi nafeli wapiiii
Sperry-Top sider men's gold cup boat
Leo ni siku yangu ya kuwa casual, so one of my fav shoe toka katika my crazy shoe collection ni hii
#TheShoeTrendChallenge is still onView attachment 1267253
CC Mshana Jr Sakayo [emoji73]
Stars jana katokaje msinipopoe ndio naamka
Khaaa wale kina Ghadaff wametupigaje wakat kipindi cha kwanza tuliwazidi,anyway tutawafungia kwetuNasikia tumepigwa
Huyo kapitwa na picha zangu karibia zote
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]kakake
Amkeni amkeni wamefungwa tenaStars jana katokaje msinipopoe ndio naamka
Yaan Mshana kama vile kaujua udhaifu wangu basi anapita nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahahah hahahah jamaniAmkeni amkeni wamefungwa tena
Sio umesikia tumepigwa...tumepwigwa haswaaNasikia tumepigwa
Kwani hujaona? 🏃[emoji23][emoji23][emoji23] unaumwa nini?
Jamani 😍😍 wali- maharage + kachumbariRice beans.
Fav food[emoji173][emoji173][emoji173]