Hapaaa mnadani?Kwa Kweli kaah...mko vyedi yaani mwezi April ntaenda Tena visiting day ntakaa hata two days Niende njia machame nikaone mlima Kwa karibuu
Kufananisha KLM na Mikoa mingi ni kichekesho,ukiacha dar rufiji hapo Kuna mapori balaaa,Kila wilaya Moshi inaishika vitu nilivokuta dodoma ghali pale same mmenunua Kwa nafuu next time shopping ntafanyia Same pale
Kwangu it was good experiences
Nkafika Same visiwani yaani mnapita mbuga mnakutana na Kijiji kikubwa kizuri umeme mpk milimani nyie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38][emoji38] shikamooooo watu wa Kilimanjaro ,gesti nzuri halafu walinikarimu mpk nimeshangaa au Kwa kua mgeni siku ya kwanza!!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Same hiyoo View attachment 2483146
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavaa vest yako huyooo mtaani.mmh wapi
nimekumbuka vidada wenye tudogo hawavai bra hata
😂😂Wew nitakupa nikabu 😂😂😂Shangaziiiiiiii nimependa huo ushungiii,
Niazimeee puliiiizzzz, kuna muhindi koko kutoka Upanga anataka kunisilimishaa, aiiiiiiiiii.
Niazime na jubbah.
Mtoto mashallah, lipsssss, jichooo.
aisee wanayaweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavaa vest yako huyooo mtaani.
[emoji38][emoji38][emoji38] ahsante kaka Kweli kabisa vacay tuanze hapa hapa nyumbani kwanza before kwenda Maldives Kunavutia mnoo Upareni ukijani Sasa weeee...Ewaaa karibu sana Same. Siku nyingine nitakupandisha milimani huko, sio lazima vacay uende Ibiza, hata ndani ya nchi kuna maeneo yanavutia sana. Siku ukija utakula ubwabwa kwa picha ya thamaki.
Pazuri same,Kuna kaupepo amazing nimelala siku Moja ila mmeinjoi mnoo!!dogo Chuga nako Pako vzr Hali ya hewa ya hyo Mikoa Mimi nimeilewa ghafla nkatamani niwe nafanya kazi hukoKuna mtu alikuja kunisabahi [emoji41]
Akadrive, kufika Same upepo sana akashindwa endelea. Ikabidi alalepo
Ni anapasifia hatari
Yaas nilipita hapo nilikua naelekea stendiHapaaa mnadani?
Lini utaacha utapeli dogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]Shangaziiiiiiii nimependa huo ushungiii,
Niazimeee puliiiizzzz, kuna muhindi koko kutoka Upanga anataka kunisilimishaa, aiiiiiiiiii.
Niazime na jubbah.
Mtoto mashallah, lipsssss, jichooo.
KwanzaHata asikurushee rohoo, ilikuwa ya kiwakiii tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahivi mbona hamna hali ya hewa nzuriPazuri same,Kuna kaupepo amazing nimelala siku Moja ila mmeinjoi mnoo!!dogo Chuga nako Pako vzr Hali ya hewa ya hyo Mikoa Mimi nimeilewa ghafla nkatamani niwe nafanya kazi huko
Vyakula navyo viko reasonable at price mnoo
Dawa yako MomoUnaamka au ndio umeweka bando sahii
Wkend ni siku ya kurefreshDawa yako Momo
Kwanza unakuwaje busy online weekend?
Hauna maisha mengine au
Last sentence inaonyesha how stressed you are Jumatatu hii.Wkend ni siku ya kurefresh
Utachagua urefresh mtandaoni kama una bando, au ushinde offline ukifua na kufuta vumbi.
Momo wa niokooo
Wewe na yeye kudadeki zenuLast sentence inaonyesha how stressed you are Jumatatu hii.
Hata sijui nacheka nini hapa...
Nimecheka kwa nguvu sanaWewe na yeye kudadeki zenu
Em tuma voice noteNimecheka kwa nguvu sana
Usije kulia bure na siku haijafika hata nusu.Em tuma voice note
Me? To cry? Over petty things?Usije kulia bure na siku haijafika hata nusu.
Njoo tunywe juice ya ukwaju