Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tope kidogo kimesusa kutembea [emoji23]
IMG_20230114_121952_840.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muache mume wanguu, akati namtulizaa now ana amani na furaha ya nafsi.

Mjep nakupendaaaa mume wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
😂 Angalia msukuma wa watu asije akaacha na kazi huko tra simiyu maana umejua kumtuliza hata selfika haonekani tena.
 
[emoji23] Angalia msukuma wa watu asije akaacha na kazi huko tra simiyu maana umejua kumtuliza hata selfika haonekani tena.
Aonekane iwejee ili wamkwapueeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Now anapita kwa mbalii tyuuh, na kuachia likes, uwoiiiiiiiii
 
Heri wafu wafao leo katika BWANA
Makaburi hulindwa na kutiwa muhuri
Mauti ni faida liwapo tumaini
La kumlaki BWANA atakapo rejea

Happy sabath brethren
 
Back
Top Bottom